Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Nafunga mjadala leo kua lenye marefu, halikosi ncha . Bi mkubwa kafariki na tumemzika jumamosi iliopita, single mama kanielewa na karidhia kwa dhati kabisa kua tufanye maisha na changamoto zimepungua sana.
 
Pole sana kwa msiba mzito wa kumpoteza mama mzaa chema lkn pamoja na yote uyo mwanamke unatakiwa usijiaahau sana katika kuishi nae bahati nzuri umeanza kuyaona makucha yake mapema sasa ishi nae kwa akili sana narudia tena ISHI NAE KWA AKILI SANA
 
Nafunga mjadala leo kua lenye marefu, halikosi ncha . Bi mkubwa kafariki na tumemzika jumamosi iliopita, single mama kanielewa na karidhia kwa dhati kabisa kua tufanye maisha na changamoto zimepungua sana.
Ooooh polee sana, kazi ya mola haina makosa,
 
Nafunga mjadala leo kua lenye marefu, halikosi ncha . Bi mkubwa kafariki na tumemzika jumamosi iliopita, single mama kanielewa na karidhia kwa dhati kabisa kua tufanye maisha na changamoto zimepungua sana.
wewe jamaa unahitaji maombi pole kwa kufiwa na mzazi lakini ndoa yako itakuwa ngumu itakushinda na ipo siku utaleta uzi tukushauri kuhusu ndoa yako wewe ni pung.....a
 
Kaka uyo sio mwanamke wa kuoa hivi ukuwaza hata siku moja kuwa uyo aliyemzalisha mwanzo kwa nn hajamuoa uyo mwanamke usije ukamuoa, mwanamke hajui thamani ya mama ako mkimbie mbali uyoo mkuu
 
Back
Top Bottom