Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
WeeMwl.RCT au trader yyt anaejua markets vzr njooni muone hii trade.
Kwa huu mfano ndo nimeona uko mweupe kabisa.
Hio trade yako uloongelea hapo haiwezekani maana trader akiuza asset/currecy yyt inaenda kuaffect price ya hio asset. So mda wanauza hizo TZS kupata USD hicho kitendo kitashusha value ya TZS na market itafanya correction, bei haitokuwa constant kama mfano wako ulivo.
Inaonesha haujui lolote la maana khs markets na trading au unajua juu juu sana. Hata mtu akiwa na loads of USD dollars akataka kuziuza lazima kuna batch ataiuza kwa price ya chini sababu ya hio effect, na ndio maana institutional traders wengi wakitaka ku-unload currency au asset yyt wanatumia blocks nje ya market ya kawaida. Na pia ndio maana kuna vitu vinaitwa OPTIONS, mtu akitaka kuhakikisha ana-mantain hio constant price kuna manual labor kubwa sana hapo ya kufanya inayohusisha OPTIONS na FUTURES zinazohusika na hio currency/asset
Kwa kukusaidia tu, kafuatilie concept inaitwa 'Zero Cost Collar' na pia uache kujifanya mjuaji, utaaibika bure, huo mfano wako hata dogo yyt alieanza kutrade juzi ataona umeongea pumba
Na hata kama ww ni professor kama unavodai basi ni wa mchongo na haupo kwenye field. Mm natrade markets on daily basis so naongea ninachopractice hapa
Mwl.RCT au trader yyt anaejua markets vzr njooni muone hii trade.

Again, you’re a faux intellectual. Unajikanyagakanyaga tu. Mara useme TZS imekuwa virtually pegged to the USD eti kwasababu ilipoimarika against USD imeimarika pia against other currencies; mara eti exchange rates haziwezi kuwa constant bila kutumia hedging instruments (options and futures). Sasa lipi ni lipi? Ulitaka exchange rates za TZS against hizo other currencies ziweje baada ya TZS kuimarika dhidi ya USD?Mwl.RCT au trader yyt anaejua markets vzr njooni muone hii trade.
Kwa huu mfano ndo nimeona uko mweupe kabisa.
Hio trade yako uloongelea hapo haiwezekani maana trader akiuza asset/currecy yyt inaenda kuaffect price ya hio asset. So mda wanauza hizo TZS kupata USD hicho kitendo kitashusha value ya TZS na market itafanya correction, bei haitokuwa constant kama mfano wako ulivo.
Inaonesha haujui lolote la maana khs markets na trading au unajua juu juu sana. Hata mtu akiwa na loads of USD dollars akataka kuziuza lazima kuna batch ataiuza kwa price ya chini sababu ya hio effect, na ndio maana institutional traders wengi wakitaka ku-unload currency au asset yyt wanatumia blocks nje ya market ya kawaida. Na pia ndio maana kuna vitu vinaitwa OPTIONS, mtu akitaka kuhakikisha ana-mantain hio constant price kuna manual labor kubwa sana hapo ya kufanya inayohusisha OPTIONS na FUTURES zinazohusika na hio currency/asset
Kwa kukusaidia tu, kafuatilie concept inaitwa 'Zero Cost Collar' na pia uache kujifanya mjuaji, utaaibika bure, huo mfano wako hata dogo yyt alieanza kutrade juzi ataona umeongea pumba
Na hata kama ww ni professor kama unavodai basi ni wa mchongo na haupo kwenye field. Mm natrade markets on daily basis so naongea ninachopractice hapa
BTW, how much do you know about financial derivatives? Mimi nadhani unatupiatupia tu vitu ili mradi.
Ili kuweka record sawa, hakuna mahali nimedai mimi ni professor. Nilichokuambia ni kwamba kwenye jukwaa hili hata la saba anaweza kumuambia professor aende shule kwanza. Unaweza kujiita “seasoned forex trader” hata kama hakuna unachokijua juu ya factors zinazoathiri foreign exchange rates.