Ninahisi TZS iko 'virtually pegged' kwenye USD

Wee

Again, you’re a faux intellectual. Unajikanyagakanyaga tu. Mara useme TZS imekuwa virtually pegged to the USD eti kwasababu ilipoimarika against USD imeimarika pia against other currencies; mara eti exchange rates haziwezi kuwa constant bila kutumia hedging instruments (options and futures). Sasa lipi ni lipi? Ulitaka exchange rates za TZS against hizo other currencies ziweje baada ya TZS kuimarika dhidi ya USD?

BTW, how much do you know about financial derivatives? Mimi nadhani unatupiatupia tu vitu ili mradi.

Ili kuweka record sawa, hakuna mahali nimedai mimi ni professor. Nilichokuambia ni kwamba kwenye jukwaa hili hata la saba anaweza kumuambia professor aende shule kwanza. Unaweza kujiita “seasoned forex trader” hata kama hakuna unachokijua juu ya factors zinazoathiri foreign exchange rates.
 
I think I should just ignore you maana huelewi the subject matter na pia hauelewi hata unachoongelea, unabwabwaja takataka tu.

I feel like I did u a great favor to reply to your comments because I never discuss such matters with mediocres like you.
 
Haya ndiyo ya kuzungumza.
Je hali ya inflation ipoje nchini?
Export rate ipoje
Supply na demand vina tally kwa namna gani?

Tuzungumzie positive na negative effects za hii infactuation ya shilingi yetu
 
I think I should just ignore you maana huelewi the subject matter na pia hauelewi hata unachoongelea, unabwabwaja takataka tu.

I feel like I did u a great favor to reply to your comments because I never discuss such matters with mediocres like you.
Obviously, this is a perfect and great place for you to be. You can call yourself whoever and whatever you really aren’t and engage in name calling of all sorts! …Lugha isiyo na staha ndiyo defense mechanism yako.
 
Makes sense, lkn Kwa nn ireflect na kwenye currencies zingine hvohvo?
Demand vs supply. TZS imekuwa adimu, so thamani yake lazima iwe juu.

Na vipi umeangalia mienendo ya BOT hasa upande wa maamuzi yake (monetary policies) katika kuipa thamani pesa yetu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…