marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
nina umri wa miaka 25,ninahitaji girlfriend mwenye umri kuanzia 18-23,awe atleast amesoma mpaka kidato cha sita,mkiristo,anayejiheshimu,mrembo na sifa nyingine nzuri. kama upo interested tuwasiliane kwa namba 0713327429.

Mimi nina dada wa rafiki yangu tumezoeana kiasi kwa hiyo huwa ananiambia kuwa anataka boyfriend, ana miaka 22, ila hajaguswa kabisaaa!! Saizi anasoma degree ya kwanza kwenye mambo ya pesa katika chuo fulani, yeye siyo mkristo wala siyo mwislam yaani hana dini niseme. Anatafuta boyfriend, Ila uwe una degree at least moja, unajua kupika japo hata chai, uwe tayari kuvumilia hadi mfunge ndoa. Kama uko interested ni PM.
hahahah umli wako mkubwa!ningekupigia ila simu haina salio jamani. Dah! Nishakosa mchumba hvi hvi.
hahahah umli wako mkubwa!
Hujahamia hata airtel hadi leo, gfriend wa nn?
Nenda kanisani mbona utawapata wengi tu
hey boss,am sorry i didnt catch up well with you,can you explain,what u mean???:bored:
Hell no.........it smell fishy....................
Ngoja nikuletee . . . .
hata kama ana umri mdogo,akiwa ameelimika huwezi kumtawala,hata hivyo sina la kumtawala kipenzi cha roho yangu.nitamheshimu.Kweli huu ni mfumo wewe 25 lakini wa miaka 18 ili umtawale eeeh.
nashukuru mkuu,nita ku PM.Mimi nina dada wa rafiki yangu tumezoeana kiasi kwa hiyo huwa ananiambia kuwa anataka boyfriend, ana miaka 22, ila hajaguswa kabisaaa!! Saizi anasoma degree ya kwanza kwenye mambo ya pesa katika chuo fulani, yeye siyo mkristo wala siyo mwislam yaani hana dini niseme. Anatafuta boyfriend, Ila uwe una degree at least moja, unajua kupika japo hata chai, uwe tayari kuvumilia hadi mfunge ndoa. Kama uko interested ni PM.