Infinity Solutions
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 111
- 89
Kama unafahamiana na mtu yeyote ambae yupo Moshi, muombe aende pale jirani na bank ya crdb mjini kabisa(jirani na ofisi za kilimanjaro bus). Wanauza kahawa pale yenye good quality. Sasa sijajua unataka ya namna gani, maana zipo ambazo zipo labeled kabisa, zipo zilizosagwa na zipo za punje na zote nadhani bei zinatofautianaHabari za leo Ndugu wanajukwaa.
Nnahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi.
Nnaomba connection na muuzaji.
06247400
salama. nataka kile kiroba cha kilo 60 kwanza.Salama mkuu. Uhitaji wako ni kiasi gani?
Shukran sana. ntafanya hivyo.Kama unafahamiana na mtu yeyote ambae yupo Moshi, muombe aende pale jirani na bank ya crdb mjini kabisa(jirani na ofisi za kilimanjaro bus). Wanauza kahawa pale yenye good quality. Sasa sijajua unataka ya namna gani, maana zipo ambazo zipo labeled kabisa, zipo zilizosagwa na zipo za punje na zote nadhani bei zinatofautiana