Ninahitaji Kahawa

Ninahitaji Kahawa

Infinity Solutions

Senior Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
111
Reaction score
89
Habari za leo Ndugu wanajukwaa.

Ninahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi.

Ninaomba connection na muuzaji.

06247400
 
Habari za leo Ndugu wanajukwaa.

Nnahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi.

Nnaomba connection na muuzaji.

06247400
Kama unafahamiana na mtu yeyote ambae yupo Moshi, muombe aende pale jirani na bank ya crdb mjini kabisa(jirani na ofisi za kilimanjaro bus). Wanauza kahawa pale yenye good quality. Sasa sijajua unataka ya namna gani, maana zipo ambazo zipo labeled kabisa, zipo zilizosagwa na zipo za punje na zote nadhani bei zinatofautiana
 
Shukran sana. ntafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom