Ninahitaji kufanya biashara ya kuuza korosho zilizookwa

Ninahitaji kufanya biashara ya kuuza korosho zilizookwa

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Mama yangu amekuwa mzalishaji mkubwa na mtengenezaj mzuri wa korosho zilizookwa, nahitaji msaada wa kupata soko la uhakika.
 
Zunguka supamaketi na mahoteli plus maduka makubwa.

Ila package na quality ndio mkombozi wako
 
Kama una mtaji nzuri nitafute nikupe mchongo upeleke ug no 0713967376
 
Back
Top Bottom