Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja.Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya kibaha!!
Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuuWanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja.
Njoo Pm nikupe simu yake.
Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa.Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu
Wanasafirishwaje Mkuu!Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa.
Nyuki wadogo normally hawaumi, kwa hiyo inabidi upate kibali cha Maliasili, na unaweza kusafiri nao ndani ya gari lako bila shida. Lazima uwe na mzinga salama kwao.
Ulizia Mali asili.