Ninahitaji kufuga nyuki wadogo

Ninahitaji kufuga nyuki wadogo

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya Kibaha!!

Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
 
Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya kibaha!!

Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja.
Njoo Pm nikupe simu yake.
 
Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu
Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa.
 
Back
Top Bottom