Ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo)

Ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo)

UTAMBI

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
65
Reaction score
40
Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM lkn iwe imara kwa matumiz ya binadamu.
Asanten
 
Daah!,kwaiyo kama gari ipo hapa Dar,naileta mpaka Kigoma mkuu!
 
Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM lkn iwe imara kwa matumiz ya binadamu.
Asanten

Kesho kuna mnada wa TRA bandarini kule, nenda kajiokotee magari yatakua bei sawa na bure
 
Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM lkn iwe imara kwa matumiz ya binadamu.
Asanten
Mkuu ipo Toyota Gaia safi kabisa namba C. Iko na AC nzuri.bei ni 6.5M Kama upo interested nicheki haina udalali.
 
Kama utakosa kabisa kuna jamaa ni dalali yuko Dar unampatia specs na utamlipa kamisheni tu;Nilishanunua gari kupitia kwake na malipo yalikuja kufanyikia ninapoishi (nje ya Dar).Na gari ilikuwa nzuri na nilishaisajili kwa jina langu.
 
NATAFUTA MLANGO STARLET WA ABIRIA KUSHOTO NYUMA
Kama kichwa cha habari kilivyo ,natafuta mlango wa kushoto wa nyuma haraka sana,
Tafadhali kwa yeyote aliyenao tuwasiliane kwa PM au hata hapa hapa.
 
Back
Top Bottom