KigomaUpo mkoa gani?
Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM lkn iwe imara kwa matumiz ya binadamu.
Asanten
Kama unayo tuwasiliane bossDaah!,kwaiyo kama gari ipo hapa Dar,naileta mpaka Kigoma mkuu!
Mkuu Kigoma mpk Dar hyo kesho xwez kuhaw sina uwez wa bombardier 🙊Kesho kuna mnada wa TRA bandarini kule, nenda kajiokotee magari yatakua bei sawa na bure
Mkuu Kigoma mpk Dar hyo kesho xwez kuhaw sina uwez wa bombardier [emoji87]
Ungekuwa unahitaji cammy ipo nmba C bei milion 6Msaada jmn nipate usafiri na mm
Mkuu Kigoma mpk Dar hyo kesho xwez kuhaw sina uwez wa bombardier [emoji87]
Mkuu ipo Toyota Gaia safi kabisa namba C. Iko na AC nzuri.bei ni 6.5M Kama upo interested nicheki haina udalali.Habari ndugu wana JamiiForums!
Kama kichwa cha mada hapo juu, ninahitaji kununua gari na chaguo langu ni Spacio new model used(bongo) maana bajeti yangu ni 6.7M. Kwa yeyote mwenye nayo anichek PM lkn iwe imara kwa matumiz ya binadamu.
Asanten
Cammy hapana boss labda RAUMUngekuwa unahitaji cammy ipo nmba C bei milion 6
Vitz old model DQA mil 7Msaada jmn nipate usafiri na mm
Cc ngp?Vitz old model DQA mil 7
1000Cc ngp?
Asante boss, lkn hyo hapana1000
Asante boss, lkn hyo hapana