Kama una hela,mtambulishe huyo bi mdogo kwa ndugu zako woteee,mjengee nyumba,nenda kajitambulishe kwa mwenyekiti wa mtaa na balozi kuwa umehamia kwenye nyumba yako mpya kisha watambulishe ndugu wa karibu na wafanyakazi wenzio anapoishi bi mdogo wako then nendeni mkafunge ndoa bomani!,Mpaka hapo utakuwa ushaoa wanawake wawili!
KUBALI MATOKEO YA MAAMUZI YAKO
ANGALIZO:USIOE WANAWAKE WAWILI KAMA HAUNA UCHUMI MZURI KWANI WANAWAKE HAWAGOMBANAGI SEHEMU YENYE PESA!