Umejuaje jaman. Yaan wapogoro ni hatari. Wanawezana wenyewe kwa wenyewe. Sie wa iringa ni ngumu sana kuendana nao
Utapata mkuu..humu wapo wengi sana..ila najiuliza umepita kote huko vyuoni..hukuonaga mwanamke wa kuoa..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua tu kama ungewapenda usingekuja huku kutafuta mke.Umejuaje jaman. Yaan wapogoro ni hatari. Wanawezana wenyewe kwa wenyewe. Sie wa iringa ni ngumu sana kuendana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
ID nyiiingi zote za nn sasa ona unavojichanganya