Ninahitaji mchumba wa kumuoa

Ninahitaji mchumba wa kumuoa

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Habari ya muda huu wadau. Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Ni mzaliwa wa mkoa wa iringa lakini kwa sasa Nipo mkoani morogoro wilaya ya kilombero mji wa Ifakara. Nina shahada na nimeajiliwa hapa ifakara mjini. Natafuta mchumba ambaye lengo kuu ni kumuoa. Awe na sifa zifuatazo
[emoji117]awe na miaka 18 mpaka 23.
[emoji117]awe mrefu kiasi na maji ya kunde.
[emoji117]mkristo na mcha Mungu
[emoji117]awe na na tabia nzuri

Kama upo tayari njoo pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom