Ninahitaji mke

Ninahitaji mke

sijawahi mimi
Miaka 26 unataka mke mtandaoni? Kwanini usitafute mtaani unaowaona kila siku? Kama umeshindwa waambie wazazi wako wakutafutie ukishindwa sana basi shekhe/mchungaji wako akutafutie.

Wewe kaa hapa tuchit chat naona ndicho unachokitaka
 
ok ngoja niende kijijin
 
Back
Top Bottom