Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bondia Tyson Furry (Gypsy king) amesema anahitaji mkono mmoja tu kupigana na bondia Andy Ruiz (Destroyer) maana akipigana naye kwa mikono miwili atamuonea.
Ikumbukwe Andy Ruiz ndiye bondia aliyeweza kumchakaza vilivyo Anthony Joshua na wanatarajia kufanya rematch mwezi disemba mwaka huu.
Kwa upande wa Andy Ruiz amesema atahakikisha anamaliza kabisa career ya Anthony Joshua yani kwa lugha nyepesi atahakikisha anamkanyaga vilivyo kuliko alivyomkanyaga mara ya kwanza.
Binafsi katika pambano ambalo ninahamu kubwa kuliona ni pambano la Andy Ruiz na Tyson Furry au Andy Ruiz na Deontay Wilder kuliko rematch ya Andy Ruiz na Anthony Joshua.