Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

kama upo dodoma na una chombo Cha moto Kama bajaji ,pikipiki au gari nenda pale uhuma financial services wako vizuri
 
Nenda bank wewe msomi achana na haya magenge ya mikopo ya mitaani, huku mara nyingi tunakopeshwa na yale makundi ya kausha damu/mikopo umiza, hawa hawana utani wala riba yao hutoboi.

Nenda bank wakope milion5, then milion 2 utanipa mimi kwa kukushauri(joke)
 
Back
Top Bottom