Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Ahsante mkuu, nitajaribu pia kwenda kupata utaratibu, kumbuka sina dhamanaWazo zuri kamanda, jaribu T.I.B huwa wanautaratibu wa kukopesa zana za kilimo kwa wakulima kwa utaratibu maalum.
Ahsante mkuu, nitajaribu pia kwenda kupata utaratibu, kumbuka sina dhamana
Kwa misingi ya makubaliano ya maandishi tu. Karibu mkuu.Sasa unategemea ukopeshwe kwa misingi ipi ikiwa huna dhamana?
-Unahitaji mkopo wa hii machine, je ni kiasi gani?
-Uta mconvince vipi mtu anayekukopesha kama utarudisha pesa bila kuwa na dhamana?
Kama una salary kwa maana ya ajira inaweza kuwa dhamana. Ongea na TIB kwanza uwasikilizie. Kila la kheri
Mkuu mi naomba nikuulize swali,,unaenda mbeya kulima nini? Mazao gani,yanachukua mda gani kukomaa'?maswali hayo ukijibu utawapa watu mwanga wa kukusaidia,na kiwango chako cha elimu.nijbu
best of luckymkuu, nashukuru kwa muda wako:
-naenda kulima mazao mengi yakiwemo mpunga, mahindi, vitunguu, karoti, tangawizi na viungo mbalimbali (spices & herbs) vinavyotumika mahotelini n.k. Ndani ya miezi 3 mpaka sita nategemea kuanza kupata mavuno.
-elimu yangu ni kidato cha sita pia nina diploma ya hotel management and tourism pia diploma ya ict (na-design websites).
Karibu mkuu
best of lucky
kiukweli hakuna mtu au benk itakayokukopesha bila dhamana,nenda kijijini kwenu tafuta ardhi ukishaipata nenda ofisi ya ardhi uombe hati ya kumiliki ardhi ya kimila,haichukui muda mrefu na haina gharama kubwa,kwa kutumia hiyo hati unaweza kukopeshwa power tilla au trekta za SUMMA JKT kwa kudhaminiwa na halmashauri yako mimi nimefanya hivyo na karibu nitafanikiwa.
kwa maelezo zaidi ni pm.
Tufanye pamoja,tuandike project tumpelekee mtu mmoja ivi atatoa pesa, hana tatizo