financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mama ikiwa umempenda mpende tu acha kuchunguza sanaOK na kwahiyo mpenzi wako akirudi huyo mrembo uliyempata utamuacha ama ? Au ndo atakua mke Mdogo?
Tutawekana wazi kwamba niwe mke Mdogo? Dooh[emoji30]Tutawekana wazi kabisa
Mkuu ni kuelekea kifungo cha maisha ujue ,sasa wewe penda penda bila kujiridhisha ,shauri yakoo.Mama ikiwa umempenda mpende tu acha kuchunguza sana
Hahaaa, kama hii sifa haipo basi tena ,the key point wee ndo huna jamani,umenifurahishaa [emoji3]Daaah sifa ya ukweli imeninyima mume🙁🙁
Njoo mrembo wanguNi vile sipo tayari kuwa na uhusiano wa kimapenzi rn ila ningekuja pm.
Kila la kheri mkuu
HahaHotali
Vipimo vipoMkweli utamjuaje
Hahambona wewe si mkweli?
Vikoje mkuuVipimo vipo
Vingi tuVikoje mkuu
Ngoja nije pm tuyajengeHello warembo wa jf;
Ninahitaji rafiki wa kike mwenye sifa hizi;
1. Mkweli
2. Mwerevu....mwenye upeo mkubwa wa maisha.
3. Aliye tayari kuwa na uhusiano wa kimapenzi
4. Yuko tayari kupima afya nk
Sifa zangu
1. Mrefu mweusi na mwembamba flani
2. Rangi ya kiafrika
3. Nikipenda..najua kupenda kupitiliza
4. Nina upeo wa mambo mengi ya kimaisha
5. Rijali haswaa
Majukumu yangu
Nitakutunza kwa kila kitu
Mwenye uhitaji aje pm na mzaha sitaki, dume usi pm situmii mtandao 071
Endapo hutakidhi wala usikate tamaa kila mtu na chaguo lako na ya pm yabaki pm.