Ninahitaji msichana mrembo mwenye sifa hizi

Status
Not open for further replies.
Siku hizi mnanunulika hahaha. Nenda ujaribu bahati yako mkuu.
Hutaliwa bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka kujà kutafuta mwenza huko yaamaanisha mtaani kwake taarifa zake wanazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] me nani wa kujitosa kwake akuuu ngoja niendelee kubanana na wazee wangu hapa home[emoji4][emoji4]
 
Woga wako tu mume popote au mke popote.
Huwezi jua kuna watu kazi zao hawaingiliani sana na jamii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom