Ninahitaji Mume

Unanisingizia.
Unajua nilipoliona tangazo lako nikamtimua bi mkubwa nikadhani nimeokota dodo chini ya muarobaini. Kujaribu kuingia PM jasho likanitoka! Sasa sijui nifanyeje na Binkubwa kasepa. Jua wengine tunawaamini lakini inaonesha mnatuchora
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli manake hiyo 2012 hata naniliu ilikuwa bado ninayo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua nilipoliona tangazo lako nikamtimua bi mkubwa nikadhani nimeokota dodo chini ya muarobaini. Kujaribu kuingia PM jasho likanitoka! Sasa sijui nifanyeje na Binkubwa kasepa. Jua wengine tunawaamini lakini inaonesha mnatuchora
Umewahi kusikia msemo wa wahenga "usitupe chungu cha zamani........"

Hebu kimbia kambembeleze, au kama vipi unga kwa huyu mdau.
 
Umewahi kusikia msemo wa wahenga "usitupe chungu cha zamani........"

Hebu kimbia kambembeleze, au kama vipi unga kwa huyu mdau.
Dhambi zako hizo! Au nikupe namba yake ya simu umbembeleze la sivyo asiporudi nakuroga.
 
Mi sina hela vp upo tayari nikuoe?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa kweli manake hiyo 2012 hata naniliu ilikuwa bado ninayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
( Funguka) ni kipindi EATV 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…