Ahaa kwahyo Mume umepata tayar?Nishakula na mahari yenyewe, hapa natafuta mahari nyingine.
Ahaa kwahyo Mume umepata tayar?
Hili swali la msingi sana...akikujibu nishtueBaba wa mtoto bado yupo hai??
unamtumia namba mke wangu melodia ya nn?Piga 0718 186148 karibu najisikie uko nyumbani.
AlifarikiBaba wa mtoto bado yupo hai??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli manake hiyo 2012 hata naniliu ilikuwa bado ninayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini hamtafuti waume wa kuwaoa mnapokuwa na umri kati ya 18 na 21?
Umri Umenikosesha Jiko
[/QUOT
Ghushi miaka πππ
kwa nini aliekuzalisha hajakuoa? unadhan kuoa singo maza ni rahis rahis? mara ya mwisho kuliwa mzigo na baba wa mtoto wako ni lini? ebu nenda kamuangukie baba wa mtoto wako akuoeHabari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;
- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na muelewa
Ninayemuhutaji
-awe Mkristo
-mwenye nia ya dhati ya kujenga familia
-Awe muwazi
-umri kuanzia 35-45
Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
Siku nawe ukiweka tangazo lako nitag plsKila la kheri
UsijaliSiku nawe ukiweka tangazo lako nitag pls
Wapo jioni ndio wanaanza kusumbuaKwanini hamtafuti waume wa kuwaoa mnapokuwa na umri kati ya 18 na 21?
CHURA vipi IPO?Habari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;
- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na muelewa
Ninayemuhutaji
-awe Mkristo
-mwenye nia ya dhati ya kujenga familia
-Awe muwazi
-umri kuanzia 35-45
Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.