Ninahitaji Mume

Ninahitaji Mume

Habari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;

- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na muelewa

Ninayemuhutaji
-awe Mkristo
-mwenye nia ya dhati ya kujenga familia
-Awe muwazi
-umri kuanzia 35-45

Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
kwa nini aliekuzalisha hajakuoa? unadhan kuoa singo maza ni rahis rahis? mara ya mwisho kuliwa mzigo na baba wa mtoto wako ni lini? ebu nenda kamuangukie baba wa mtoto wako akuoe
 
Habari Wana Jf,
Nikiwa na ufahamu kamili na akili timamu ninajitokeza kuweka wazi nia yangu ya kuhitaji mume.Kwa upande wangu Mimi;

- Mkristo
-Miaka 31
-nina mtoto mmoja
-Degree moja
-muwazi na muelewa

Ninayemuhutaji
-awe Mkristo
-mwenye nia ya dhati ya kujenga familia
-Awe muwazi
-umri kuanzia 35-45

Aliye tayari akaribie PM.kwa lugha ya malkia wanasema you are warmly welcomed.
CHURA vipi IPO?

#ASANTE
#YNWA
tapatalk_1569767930925.jpeg
 
Back
Top Bottom