Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Mkuu ma mtu ya Dar hayanaga msaada sijui kwa nini! Hata mimi nimeuliza huu msaada nikaambulia patupu leo siku ya 3 hola! Hata madalali tu hayawezi kukufuata wakati yanaona hilo tangazo!Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,
Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over
Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu ma mtu ya Dar hayanaga msaada sijui kwa nini! Hata mimi nimeuliza huu msaada nikaambulia patupu leo siku ya 3 hola! Hata madalali tu hayawezi kukufuata wakati yanaona hilo tangazo!
Ngoja tuone bahati yako mkuu! Madalali wa Dar wanazidiwa na wa mikoani!Ngoja Nami nione mkuu Kama ntapata Msaada au kusimangwa
Kwanini umeamua upande huo wa jiji? Shughuli zako unafanyia huko? Au ni mazingira ya uchumi?mbezi beach, tegeta, boko hadi bunju hapafai?Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,
Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over
Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu,Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,
Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over
Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu,Mkuu ma mtu ya Dar hayanaga msaada sijui kwa nini! Hata mimi nimeuliza huu msaada nikaambulia patupu leo siku ya 3 hola! Hata madalali tu hayawezi kukufuata wakati yanaona hilo tangazo!
Kiongozi nina uhitaji mkubwa kama wa jamaa.Maeneo ya Kifuru, Kinyerezi,Sengerea, Tabata Bima na Majumba sitaMkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.
Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv
Hapana shaka mkuu, upo wapi kwa sasa?Kiongozi nina uhitaji mkubwa kama wa jamaa.Maeneo ya Kifuru, Kinyerezi,Sengerea, Tabata Bima na Majumba sita
Mkuu nasubir jibu Lako?Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,
Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over
Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu,
Mimi sikuluona tangazo samahani unaweza kunipa link nione?
Asante mkuu bora wewe umekuja! Niko serious ngoja nikutumie PMMkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.
Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv
Bora wewe mkuu watu wamekuja! Wacha na sisi tuponee hapa hapa!Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)
Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,
Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over
Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Kutoka Mbezi Msumi kuja Kinondoni B napanda magari wangapi mkuu?Mbezi msumi unaweza kupata kubwa kuliko hiyo....kwa kilo
Kwanini umeamua upande huo wa jiji? Shughuli zako unafanyia huko? Au ni mazingira ya uchumi?mbezi beach, tegeta, boko hadi bunju hapafai?
Msumi mbezi Gari moja....then mwendo kasi etc....Mara. nyingi alfajiri kuna Gari za moja kwa moja Msumi to down town etc etcKutoka Mbezi Msumi kuja Kinondoni B napanda magari wangapi mkuu?
Mkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.
Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv