Ninahitaji Nyumba ya kupanga

Ninahitaji Nyumba ya kupanga

Msumi mbezi Gari moja....then mwendo kasi etc....Mara. nyingi alfajiri kuna Gari za moja kwa moja Msumi to down town etc etc
Kwa hiyo mkuu nikikaa huko Mbezi Msumi nitakuwa natoka saa ngapi na kurudi saa ngapi ili nisikwame barabarani?
 
Tatizo mnakuwa wajuaji sana mtu unamtafutia nyumba nzuri umehangaika anafika anakuambia yeye hajaipenda,kama upo siliazi nipe kazi ya eneo unayotaka kukaa na iweje nikutafutie
Mkuu kinahitajika chumba kimoja self maeneo ya kimara, kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha basi za mwendokasi pawe kwa kufikika kwa mguu, iwe na dirisha za aluminium na tiles, eneo liwe na usalama tafadhali
 
Mkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.

Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv

Back
Top Bottom