Kwa hiyo mkuu nikikaa huko Mbezi Msumi nitakuwa natoka saa ngapi na kurudi saa ngapi ili nisikwame barabarani?Msumi mbezi Gari moja....then mwendo kasi etc....Mara. nyingi alfajiri kuna Gari za moja kwa moja Msumi to down town etc etc
Mkuu nimekutumia PMMkuu nasubir jibu Lako?
Mkuu nicheki kwa hiyo namba sasahv.Mkuu nimekutumia PM
mkuu namba umeiona? Nasubir unicheki twende nikakuonyeshe.Mkuu nimekutumia PM
Sawamkuu namba umeiona? Nasubir unicheki twende nikakuonyeshe.
Nakupigia kiongozi mpaka inakata tu!mkuu namba umeiona? Nasubir unicheki twende nikakuonyeshe.
Kwa nini mkuu? Mama wenye nyumba nao hatari eeeh? Kuliko baba wenye nyumba?ππππHakikisha mama mwenye nyumba haiashi hapo ,,
Mkuu kinahitajika chumba kimoja self maeneo ya kimara, kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha basi za mwendokasi pawe kwa kufikika kwa mguu, iwe na dirisha za aluminium na tiles, eneo liwe na usalama tafadhaliTatizo mnakuwa wajuaji sana mtu unamtafutia nyumba nzuri umehangaika anafika anakuambia yeye hajaipenda,kama upo siliazi nipe kazi ya eneo unayotaka kukaa na iweje nikutafutie
Mkuu kinahitajika chumba kimoja self maeneo ya kimara, kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha basi za mwendokasi pawe kwa kufikika kwa mguu, iwe na dirisha za aluminium na tiles, eneo liwe na usalama tafadhaliMkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.
Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv