Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: I am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji Kupata rafiki ambae tukienda sawa awe mchumba hatimae mume.
Awe seriously, mchamungu, sio mlevi, sio mvutaji.
umri 32-45
Elimu akinizidi itapendeza.
Awe anatokea mikoa ya kusini hata km haishi kule .
Ambae Anatamani Kupata mke siku za mbeleni
SIBAGUI DINI
Nia yangu ni ya dhati