Ninahitaji rafiki wa kiume mwenye asili ya mkoa wa Mtwara, na Lindi

Mimi hapa,kwetu tandahimba,kijiji cha mtegu,elimu la saba c.
 
Miaka 33 we ni mshangazi,ulitakiwa kuwa na wajukuu kabisa,ujana ule nanani uzee ule na sisi,
 
Miaka 33 unataka mbeleni ipi

We chanua tu, kuwa royal utapata
 
Picha yko....?
 
Kila mtu ana machaguo yake .heshimu maamuzi ya mtu mkuu
Aache hizo 33 kashotombeka sana kachoka yupo hoi ndio anatafuta wa kusini na kule jamaa hawakai na mwanamke ni mwendo wa kuacha tu wanaume wa kimakonde hawakopeshi mwanamke akileta za kuleta anapigwa chini haraka sana
 
Miaka 33 binti ambaye hana mtoto , hana kazi. Kipimo kinaonyesha km zilizotumika ni kufuru kuliko hata vikongwe wenye wajukuu.
 
Kwa vigezo hivyo na gauge ilivyosoma hapo jobless tukae mbali, maana inaonekana unataka kumwongezea mtu stress
 
Mungu ni Mwema atakupa Mme wa kufanana nawe katika maisha yako yote!
 
Aisee unaposema asiwe mvutaji ni mvutaji wa sigara au hata bangi ?
 
unakuta ulishakataa sana wachumba hapo nyuma. mabinti sijui huwa mnajionaje. kuna mmoja mmakonde mwenzio alikua ni kisu haswa. kamla sana jamaa yangu hela zake. mtoto kuolewa hataki tena wanakuja watu wa maana wanajielewa. ye anaruka na wana apolo. sasa hivi miaka 30+ anahangaika kutafuta ndoa. wachumba hawapo.
 
Mimi na sifa zote Ila nakosa iyo TU sifa moja TU ya Lindi na mtwara.
 
hivi vigezo itabidi umuumbe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…