ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hiyo pikipiki ni zaidi ya I.S.T bei yake kuna jama yangu mwaka jana alinunua mkononi milioni 11 kwa sasa sijajua bei ganiWapi nitapata maduka yake maana nasikia Arusha Ni rahisi kupata kuliko dar na Bei zake zipoje?chini ya milioni unaweza kuipata pikipiki Kama hii?View attachment 1761158View attachment 1761159
No ndo maana nikasema hio Ni picha as a sample ila sio lazima iwe Honda nataka tu Cha kawaida hata Kama Kuna wataalamu wanavichonga hapahapa bongo sawa tuPikipiki kama hiyo chini ya million mkuu? Ngoja nami nisubiri wadau
Kwa bei hiyo ya milion hata ile ya kihindi honda au skymark hupati king star aotomatic tuu bei yake ni 3 milioniNahitaji kamoja tu Cha kulia Bata ila nijuzwe kwanza Bei zake zinakwendaje asante
Ok ngoja tusubiri ila kwa hiyo bei mmh, unahitaji mpya?No ndo maana nikasema hio Ni picha as a sample ila sio lazima iwe Honda nataka tu Cha kawaida hata Kama Kuna wataalamu wanavichonga hapahapa bongo sawa tu
What's so special kwenye hio pikipiki akati engine ile ile sawa na pikipiki kubwa kwanini Sasa chenyewe kawe Bei ya juu hivo..af hata hivo me sijaulizia Honda maana najua Ni original mno na Bei Ni ghali nataka vya kawaid tu ambavyo hata watundu Mafundi wanaweza kudesign wakaunga kakawa official kidogoHiyo pikipiki ni zaidi ya I.S.T bei yake kuna jama yangu mwaka jana alinunua mkononi milioni 11 kwa sasa sijajua bei gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hizo unazochukulia poa ndio zina bei wee zama madukani kaulize beiWhat's so special kwenye hio pikipiki akati engine ile ile sawa na pikipiki kubwa kwanini Sasa chenyewe kawe Bei ya juu hivo..af hata hivo me sijaulizia Honda maana najua Ni original mno na Bei Ni ghali nataka vya kawaid tu ambavyo hata watundu Mafundi wanaweza kudesign wakaunga kakawa official kidogo
Kama unataka za kuchonga hapa hapa Bongo Nenda kule kigoma nasikia kuna wataalam wanachonga za mitiNo ndo maana nikasema hio Ni picha as a sample ila sio lazima iwe Honda nataka tu Cha kawaida hata Kama Kuna wataalamu wanavichonga hapahapa bongo sawa tu
Kamanda fungua mfuko wako, huwezi pata pikipiki chini ya million moja mpya, zile za kuchaji tu ni 1.3 million.Wapi nitapata maduka yake maana nasikia Arusha Ni rahisi kupata kuliko dar na Bei zake zipoje?chini ya milioni unaweza kuipata pikipiki Kama hii?View attachment 1761158View attachment 1761159
Kama unataka ya kuchonga tafuta Sanlg CG.125 (Kibao Cha Mbuzi) kwa mtu unapata kwa Laki 8 mpk 5.What's so special kwenye hio pikipiki akati engine ile ile sawa na pikipiki kubwa kwanini Sasa chenyewe kawe Bei ya juu hivo..af hata hivo me sijaulizia Honda maana najua Ni original mno na Bei Ni ghali nataka vya kawaid tu ambavyo hata watundu Mafundi wanaweza kudesign wakaunga kakawa official kidogo