Ninahitaji vipikipiki vidogo

Ninahitaji vipikipiki vidogo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wapi nitapata maduka yake maana nasikia Arusha ni rahisi kupata kuliko dar na Bei zake zipoje?chini ya milioni unaweza kuipata pikipiki Kama hii?

images%20(2).jpg
images.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nahitaji kamoja tu Cha kulia Bata ila nijuzwe kwanza Bei zake zinakwendaje asante
 
Sio lazima iwe Honda au brand za Bei kubwa nataka chochote Cha kawaida ambacho Bei zake Ni simple
 
Hiyo pikipiki ni zaidi ya I.S.T bei yake kuna jama yangu mwaka jana alinunua mkononi milioni 11 kwa sasa sijajua bei gani

Sent using Jamii Forums mobile app
What's so special kwenye hio pikipiki akati engine ile ile sawa na pikipiki kubwa kwanini Sasa chenyewe kawe Bei ya juu hivo..af hata hivo me sijaulizia Honda maana najua Ni original mno na Bei Ni ghali nataka vya kawaid tu ambavyo hata watundu Mafundi wanaweza kudesign wakaunga kakawa official kidogo
 
Hizo hizo unazochukulia poa ndio zina bei wee zama madukani kaulize bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No ndo maana nikasema hio Ni picha as a sample ila sio lazima iwe Honda nataka tu Cha kawaida hata Kama Kuna wataalamu wanavichonga hapahapa bongo sawa tu
Kama unataka za kuchonga hapa hapa Bongo Nenda kule kigoma nasikia kuna wataalam wanachonga za miti
 
What's so special kwenye hio pikipiki akati engine ile ile sawa na pikipiki kubwa kwanini Sasa chenyewe kawe Bei ya juu hivo..af hata hivo me sijaulizia Honda maana najua Ni original mno na Bei Ni ghali nataka vya kawaid tu ambavyo hata watundu Mafundi wanaweza kudesign wakaunga kakawa official kidogo
Kama unataka ya kuchonga tafuta Sanlg CG.125 (Kibao Cha Mbuzi) kwa mtu unapata kwa Laki 8 mpk 5.

Kisha peleka kwa fundi atoe carrier, na siti na mud guard apunguze. Pia exhaust pipe itakatwa mpaka karibu usawa wa kick.

Mafundi kibao wanachonga hizo vibao vya Mbuzi mpaka Boxer, mitaa ya Temeke, Kinondoni
 
Naziona pikipiki za kuchaji mtaani sasa, sijui zimefikia shilingi ngapi dukani
 
Back
Top Bottom