Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi wetu. Hapa ndipo uadilifu na umakini wa kikwete unapoojiwa?
Na siyo kuoji nani kamuoa nani au dini ya mtu au kabila lake au hear say kama alivyofanya KAMARADE kwani vitu hivyo havimsadii mtanzania wa kawaida.
Na siyo kuoji nani kamuoa nani au dini ya mtu au kabila lake au hear say kama alivyofanya KAMARADE kwani vitu hivyo havimsadii mtanzania wa kawaida.