Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali.
Ninaiomba Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uchunguzi wa kina kama kweli mshindi aliyeshika namba moja kama kweli ushindi wake ulikuwa ni wa haki. Ninaomba mtende haki ili uteuzi wenu pia uwe wa haki.
Ninaiomba Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uchunguzi wa kina kama kweli mshindi aliyeshika namba moja kama kweli ushindi wake ulikuwa ni wa haki. Ninaomba mtende haki ili uteuzi wenu pia uwe wa haki.