Mkuu ukisema hivo utagusa nchi nzima. 90% ya watia nia kwenye ubunge na udiwani kupitia ccm waligawa rushwa.Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali.
Ninaiomba Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uchunguzi wa kina kama kweli mshindi aliyeshika namba moja kama kweli ushindi wake ulikuwa ni wa haki. Ninaomba mtende haki ili uteuzi wenu pia uwe wa haki.
Rushwa haipo kwetu CCM, labda Chauma, au ACT kwenu huko. Sisi ni wasafi kama maji yanayotiririka toka mlima Kilimanjaro.Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali.
Ninaiomba Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uchunguzi wa kina kama kweli mshindi aliyeshika namba moja kama kweli ushindi wake ulikuwa ni wa haki. Ninaomba mtende haki ili uteuzi wenu pia uwe wa haki.
Haahaa huko ccm rushwa inaitwa takrimaRushwa haipo kwetu CCM, labda Chauma, au ACT kwenu huko. Sisi ni wasafi kama maji yanayotiririka toka mlima Kilimanjaro.
Kwa Mbogamboga rushwa/wizi wa kura ni kama uji na mgonjwa.Ninaiomba Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uchunguzi wa kina kama kweli mshindi aliyeshika namba moja kama kweli ushindi wake ulikuwa ni wa haki. Ninaomba mtende haki ili uteuzi wenu pia uwe wa haki.
Acha ukabila na ujinga wewe zwazwa!Hilo jimbo 80% ni Wajaluo lakini cha kushangaza mbunge ni msimbiti-mkurya………..Wajaluo wa Tanzania ni majinga sana
Hiyo ilikuwa ni nafasi iliyobaki ya wao kutawala kwani bunge zima hakuna mbunge mjaluo ata mmoja,hakuna dc,RC,waziri,naibu waziri au ata katibu mkuu mjaluo
Ni kweli wajaluo wa Tanzania hawajielewi,Acha ukabila na ujinga wewe zwazwa!
Uliambiwa Bungeni kunafanyika mitambiko ya kijaluo?!
Watu wengine ni wajinga sana! Sijui majitu kama haya hutokea wapi?!
Pemba na unguja sio kugombea, hata kuishi halafu uwe na msalaba/Biblia hupati hata nyumba ya guest wala chumba cha kupanga hata chakula hotelini unaweza kunyongwa.Ni kweli wajaluo wa Tanzania hawajielewi,
Usitegemee mluo anaweza akagombea jimbo la Tarime Mjini na akapita ubunge kwa wakurya, siyo ukabila lakini ni vyema kila Mtoto acheze nyumbani kwao ili awe salama zaidi
Kama unabisha, jaribu utoke hapa usukumani sengerema ukagombee unguja au Pemba my friend u never see light of the day,u will be beaten as early as 8 A.M,
Kwanini hakutakuwa na uchaguzi mkuu?Hata wasihangaike, hakutakuwa na uchaguzi wowote mwaka huu.
Mkuu, wacha wafanye na wajiandae wanavyoweza lakini sisi wengine tunachotambua ni kwamba bula mabadiliko hakuna uchaguzi. Hicho wanachojihangaisha nacho kutengeneza upinzani feki hakikubaliki na hakitofanikiwa.Kwanini hakutakuwa na uchaguzi mkuu?
Japo mimi sijajiandikisha ila uchaguzi utafanyika kimagumashi tu ila idadi ya kura za samia tume wanayo tiyari, kuonesha dunia kuna democracy in Tz ndo maana wameweka state sponsored weak opposition party like Chauma na Act wazalendo,
Wewe ndio zuzu tena hujitambui,me nazungumza kuhusu uhalisia wa hilo jimbo Kwa kuwa ninawaonea huruma Majaluo ya TZ lakin yenyewe hayajitambuiAcha ukabila na ujinga wewe zwazwa!
Uliambiwa Bungeni kunafanyika mitambiko ya kijaluo?!
Watu wengine ni wajinga sana! Sijui majitu kama haya hutokea wapi?!