Ninaipenda style ya spooning lakini simalizi dakika 5, nifanyeje ili nidumu?

Mwelekeze kuwa hapa yeye ndio horse rider [emoji16]

Usijekuta dada ni mchaga, sasa asije akabaki kagandisha tu kiuno chake hapo kama nguruwe pori aliyenasa kwenye mtego...
Aaah mkuu jmn [emoji16]
 
Ila lakini aina hii ya threads zinanitesa! Na hivi nimekaa tangu mwezi wa nne mwaka jana sijawa karibu na KE aisee.

Nawaza kuifuta app ya Jf inanipa wakati mgumu sn kwa ongezeko la nyuzi za mambo haya.

Poleee
 
Mkuu vipi mdomo mzito au pesa ngumu?[emoji28]
[emoji16][emoji16] aah nahisi ka gundu flani hivi kanatupitiaga wanaume kwa muda.Nilikuwa na mtu tukaachana (alinisaliti).Niliweka hadi uzi humu wa maumivu.Sasa tangu hapo aiseee ngoma nzitoooo, hata nikishawishi kwa kuhonga hamnaaa.Nikiongea sera zote hamnaaa! Nimebaki nakula tu hela zangu mwenyewe.

Na kununua wale wa kujipanga sijawahi na naogopa maana ni juzi tu nimefanya
 
Mkuu usikate tamaa ni kipindi cha mpito tu😅 kuna upepo flani mmbaya unapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…