Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mweusi anachojua ni kuua na kufungaTanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.
Walikuwa na huruma na busara, kwani ukishinda nje ya mahakama unaangalia magari na watu wanaopita kunaathiri nini mwenendo wa kesi ndani ya mahakama? Mungu wabariki wakoloni.Duh! Tumefika papaya sasa hii siyo sawa. Mna maana tunawamiss wakoloni weupe?
Aione sirro the zero brains!Nyerere alifikishwa makakamani wakati wa mkoloni na wananchi waliruhusiwa kuhudhuria bila sulubu zozote na aliposhinda kesi wananchi waliruhusiwa kumbeba ikiwa ni ishara ya ushindi, Mungu wabariki wakoloni.
Sema kweli mkuu kuliko uteswe na ndugu yako bora uteswe na mtu baki maana ndugu inauma zaidi.Duh! Tumefika papaya sasa hii siyo sawa. Mna maana tunawamiss wakoloni weupe?
Wajinga kweli hawa, hawajui kuwa babu zao walinyongwa na elimu zao kupewa hiiDuh! Tumefika papaya sasa hii siyo sawa. Mna maana tunawamiss wakoloni weupe?
Mzungu ni mzungu tu, ingekuwa wakoloni ni weusi kama hawa wetu ndiyo wanatawala wakati huo Mwalimu angevunjwa miguu yote na kumtoboa macho asione.Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.
Ila CCM ni mashetani wakisaidiwa na PolisiWalikuwa na huruma na busara, kwani ukishinda nje ya mahakama unaangalia magari na watu wanaopita kunaathiri nini mwenendo wa kesi ndani ya mahakama? Mungu wabariki wakoloni.
Wazungu nchi zao zinaendelea kutokana na kuwathamini wananchi wote bila kujali mapenzi ya vyama, huku kwetu viongozi wakuu wa nchi ndio wanaochochea chuki dhidi ya wananchi wasio wapenzi wa vyama vyao.Mkoloni mweupe hakutaka kuendelea na enzi za ukoloni wa kutumia nguvu.
Kuna umuhimu wa Historia za nchi kuwekwa sawa kwa wananchi. Kuna hadithi inasimuliwa Tanganyika haijawahi kuwa koloni la Uingereza, bali Wajerumani. Ni baada ya "scramble of Africa" tunaambiwa Tanganyika ilikuwa katika Uangalizi wa Uingereza mpaka pale itakapokuwa na uwezo wa kujitawala yenyewe. (British protectorate not Colonial). Nyerere alienda UN kuwaeleza sasa tuko tayari ndio maana hatukumwaga damu kulidai taifa. Kuna taarifa baada ya miaka 10 tuliwaita waje waone maendeleo yaliyopatikana kama uthibitisho wa kuwa kweli tulikuwa na uwezo wa kujitawala wenyewe. Sijui kama kuna ukweli kiasi gani ni hadithi zinasimuliwa.Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.