Rushwa ni halali ndani ya CCM ya sasa ,ndio maana mwenyekiti kahonga pikipiki,kahonga baskeli kahonga takataka chungu nzima na wanachama mbumbumbu wanaruka ruka tu maamuma hawa.Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki.
Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita rushwa sasa ni kwa nini ikubali rushwa itawale kwenye zoezi hili?.
Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki.
Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita rushwa sasa ni kwa nini ikubali rushwa itawale kwenye zoezi hili?.