Ninaishauri serikali iondoe VAT na ushuru (excise duty) kwenye petrol na dizeli kwa miezi miwili

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao haieleweki vita itaisha lini au vita itakuwa mbaya kiasi gani. Pia itasaidia kuzuia mfumuko wa bei.

WanaJF tuchangie mawazo tafadhali.
 
Hizo kodi ndio mipigo yao, wakizitoa watakufa njaa.
 
Nchi zinazo ongozwa na wazalendo hayo mambo zimeshayafanya mda mrefu tu ... Na usishangae kwa tz kuna tozo ikaongezwa kwenye mafuta. Tunasshida kubwa dana kwenye swala la uongozi.
 
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao haieleweki vita itaisha lini au vita itakuwa mbaya kiasi gani. Pia itasaidia kuzuia mfumuko wa bei.

WanaJF tuchangie mawazo tafadhali.
Petrol na diesel hazina VAT.
 
Unaishauri kama nani mkuu 😅😅
 
Nyinyi si ndiyo mnajifanya watetezi wa hiyo serikali? Nikajua mnakutana hata ana kwa ana na hao mnaowatetea ili muwaambie kumbe mko kwa mashemeji huko Nyakitonto.

Wasiondoe chochote hadi akili iwakae sawa!!!
 
Tatizo wanasiasa ndio hao hao wafanyabiashara ya mafuta na wengine hizo kodi na ushuru wanakwepa ili kupata faida

inasikitisha wabunge wapo kmya badala ya kutetea na kupanga mpango wa dharura kipindi hichi cha vita vya iran
 
Back
Top Bottom