Ninaishukuru JF Kwa kuniongezea kipato. Sikutarajia!

Gumasa

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
65
Reaction score
66
Heshima kwenu wakuu!!

Sikuwahi kufikri hata siku Moja kuwa jukwaa hili linaweza kuwa na nguvu kiasi hiki

Mara nyingi nilikuwa nikisoma na kuweka comment zangu Kwa mazoea mpaka siku nilipoamua kubadili mtazamo.

Niliamua kutangaza biashara yangu ya uuzaji wa viwanja bila kujiamini nikifanya majaribio,lakini ndani ya miezi miwili tu nimepata mwitikio mkubwa sana wa wateja na wanunuzi waliotokana na jukwaa hili.

Jambo mhimu kabisa ni kuwa asilimia kubwa ya wateja kutoka jukwaa hili ni waaminifu sana na wasiotaka mzaha katika kukamilisha jambo.

Ninawashukru sana wote mlio amua kunifikia ana Kwa ana na hata kuniunga mkono katika kazi yangu hii,hakika ninaendelea kuwaheshimu sana siku zote,kwani bila watu hakuna biashara.

Hata wale mnaoendelea kuwasiliana nami Kwa ajili ya maulizo ninawakaribisha sana.

Bado viwanja vya makazi vipo Kwa wanaouliza na kuhitaji katika maeneo tofauti ya mji wa MWANZA.

Maeneo yaliyopo Kwa Sasa ni SAHWA,KISESA MIKOROSHONI,KONA YA FELLA karibu na SGR,KISHILI KANYAMA karibu na City college,pamoja na Kona ya KAYENZE na sehemu nyingine.

Bei ni nafuu zaidi inaanzia 1.5M mpaka 12M Kwa kiwanja Cha 20×20 kutegemeana na location.
Office zetu zipo KiSHILI Centre.

Siku za kazi ni Jumapili mpaka ijumaa..Jumamosi ni sabato takatifu ya Bwana.
Kwa Maelezo zaidi
0674348222 (Kwa walio serious tu)
 
uko sahihi, binafsi naona humu JF walio wengi ni watu waaminifu mno japo wanaweza kuwepo matapeli, ni wachache na sio kama mitandao mingine.

Kuna mtu hata mimi alianzisha program yake humu nikamuamini akafanya kazi na mambo yakaenda vizuri.

Hili ni jukwaa la muhimu na zuri licha ya madhaifu yake pia
 
Heshima kwenu wakuu!!

Sikuwahi kufikri hata siku Moja kuwa jukwaa hili linaweza kuwa na nguvu kiasi hiki

Mara nyingi nilikuwa nikisoma na kuweka comment zangu Kwa mazoea mpaka siku nilipoamua kubadili mtazamo.

Niliamua kutangaza biashara yangu ya uuzaji wa viwanja bila kujiamini nikifanya majaribio,lakini ndani ya miezi miwili tu nimepata mwitikio mkubwa sana wa wateja na wanunuzi waliotokana na jukwaa hili.

Jambo mhimu kabisa ni kuwa asilimia kubwa ya wateja kutoka jukwaa hili ni waaminifu sana na wasiotaka mzaha katika kukamilisha jambo.

Ninawashukru sana wote mlio amua kunifikia ana Kwa ana na hata kuniunga mkono katika kazi yangu hii,hakika ninaendelea kuwaheshimu sana siku zote,kwani bila watu hakuna biashara.

Hata wale mnaoendelea kuwasiliana nami Kwa ajili ya maulizo ninawakaribisha sana.

Bado viwanja vya makazi vipo Kwa wanaouliza na kuhitaji katika maeneo tofauti ya mji wa MWANZA.

Maeneo yaliyopo Kwa Sasa ni SAHWA,KISESA MIKOROSHONI,KONA YA FELLA karibu na SGR,KISHILI KANYAMA karibu na City college,pamoja na Kona ya KAYENZE na sehemu nyingine.

Bei ni nafuu zaidi inaanzia 1.5M mpaka 12M Kwa kiwanja Cha 20×20 kutegemeana na location.
Office zetu zipo KiSHILI Centre.

Siku za kazi ni Jumapili mpaka ijumaa..Jumamosi ni sabato takatifu ya Bwana.
Kwa Maelezo zaidi
0674348222 (Kwa walio serious tu)
Lipia tangazo.
 
Kongole bingwa, Pambana
Kuna wapumbavu humu wanautumia huu mtandao kupata likes nyingi iili awe domo platnumz
Inasikitisha
Ilikuwaje jina la id yako likawa linatumika kumaanisha matako?
 
Back
Top Bottom