Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
- Thread starter
-
- #21
typhoid ndo ikae miaka ?Nina hakika 60% hiyo ni typhoid
Nenda ukapime kisha ulete mrejesho
Acha ubishi.typhoid ndo ikae miaka ?
Mkuu typhoid ukapime kwanza typhoid kama mkuu mwingine alivyoshauri....ila katika issue ya saikolojia naiona wazi kabisa tatizo ni dogo ila umejenga nalo mazoea na hali ya kulikubali mkuu jitahid kuwa positive kwa siku 2 kula mapema,fanyq mazoezi jitahid kujizuia pia huenda mda mwingine huwa unamiss kupunguza gesi mwenyewnaomba unieleze
choo kikubwa hakisumbui kabisa ,hata mchana sina shida yoyote ya tumbo inapofika mapambazuko tu ndo milipuko
hata nikinywa maji tu milipuko ipo palepale asubuhileo usiku kula matunda tu lala halafu kesho nipe jibu
Na ukila Ni milipuko tuu sindioMi nikila maharage ni kosa nishaamua kuacha nakula mara moja moja
mwisho wangu kula ni kumi na mbili jioni. sidhani kama nina tatizo chronicMkuu typhoid ukapime kwanza typhoid kama mkuu mwingine alivyoshauri....ila katika issue ya saikolojia naiona wazi kabisa tatizo ni dogo ila umejenga nalo mazoea na hali ya kulikubali mkuu jitahid kuwa positive kwa siku 2 kula mapema,fanyq mazoezi jitahid kujizuia pia huenda mda mwingine huwa unamiss kupunguza gesi mwenyew
sawa nitaenda kupimaAcha ubishi.
Typhoid inawatafuna wengi kimyakimya bila wao kujua
Tatizo lako linasababishwa na sababu hizi
1)Anal Sexy au
2)Tumbo kujaa gesi ambapo ukitumia magnesium hali itarudi kama awali
3)Typhoid
Ukienda kupima kama hakutakuwa na haya niliyokutajia ni pm kuna hela yako .
Aiseee acha tu,,lakin nisipokula walaa niko poa tuNa ukila Ni milipuko tuu sindio
Wote mna tatizo la mjampo?? [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]naishi nae hana shida hata yeye ana tatizo .shida ni kwa kachanga ketu
sio mzito sana ila katoto kanashtuka shtuka sanaWote mna tatizo la mjampo?? [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ama kweli kachanga kanapitia wakati mgum... duuh!..
Na inanuka ule mnuko mzito?
Vidonda vya tumbo ivoAiseee acha tu,,lakin nisipokula walaa niko poa tu
hapana mi sitaki tena najamba hadi hewa inaisha mwilini bwanaKujamba s uhai jamani...
Hivi ungekuwa unajamba kama Mimi ungesemaje???
Na wala sijishtukii uhai babu weee
Ndio uhai Huo. Ukifa hautojamba tena we vipi buanaahapana mi sitaki tena najamba hadi hewa inaisha mwilini bwana
teh teh tehNdio uhai Huo. Ukifa hautojamba tena we vipi buanaa
Yawezekana mkuu mm nabaki kwenye saikolojia,maumbile basi ya ngono kinyume namaumbile siiamini sana kama mwenyewe umekataamwisho wangu kula ni kumi na mbili jioni. sidhani kama nina tatizo chronic