Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ninajamba sana ifikapo asubuhi

typhoid ndo ikae miaka ?
Acha ubishi.

Typhoid inawatafuna wengi kimyakimya bila wao kujua

Tatizo lako linasababishwa na sababu hizi
1)Anal Sexy au

2)Tumbo kujaa gesi ambapo ukitumia magnesium hali itarudi kama awali

3)Typhoid

Ukienda kupima kama hakutakuwa na haya niliyokutajia ni pm kuna hela yako .
 
naomba unieleze

choo kikubwa hakisumbui kabisa ,hata mchana sina shida yoyote ya tumbo inapofika mapambazuko tu ndo milipuko
Mkuu typhoid ukapime kwanza typhoid kama mkuu mwingine alivyoshauri....ila katika issue ya saikolojia naiona wazi kabisa tatizo ni dogo ila umejenga nalo mazoea na hali ya kulikubali mkuu jitahid kuwa positive kwa siku 2 kula mapema,fanyq mazoezi jitahid kujizuia pia huenda mda mwingine huwa unamiss kupunguza gesi mwenyew
 
mwisho wangu kula ni kumi na mbili jioni. sidhani kama nina tatizo chronic
 
Acha ubishi.

Typhoid inawatafuna wengi kimyakimya bila wao kujua

Tatizo lako linasababishwa na sababu hizi
1)Anal Sexy au

2)Tumbo kujaa gesi ambapo ukitumia magnesium hali itarudi kama awali

3)Typhoid

Ukienda kupima kama hakutakuwa na haya niliyokutajia ni pm kuna hela yako .
sawa nitaenda kupima
 
Nmewahi kuwa na dem km ww(one nyt stand) anaejamba namna ni shhida[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Labda ukiwa usingizini unameza hewa kupitia mdomo
 
Back
Top Bottom