Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ninajamba sana ifikapo asubuhi

UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?

Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.

1.Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo
inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi.Baadhi ni hewa
tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa.Hewa ingine
husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu
kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na
kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida
"ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya
nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon
dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen
sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani
yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya
Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na
"vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa
kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje
na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.

2.Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa
mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha
hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama
maharage,kabichi,soda na mayai.

3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa
siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi
cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha
kutengeneza bomu la atomiki.

4.Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde.
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada
ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda
mrefu kwa harufu kufikia pua.

5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia
kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri
kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa
mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba
haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba
kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa
gesi,na pia inaweza sababisha bawasili (hemorrhoids).

6.Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba
lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya tamaduni hawaoni
haya kujamba hadharani,na pia hufurahia tendo
hilo.Mfano kabila la Yanomami huko America ya
Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China
unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya
zamani,Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia
kujamba inaweza kuwa hatari kiafya,alipitisha sheria
kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".

7.Ushuzi Unawasha Moto
Kama ilivyoandikwa hapo juu,methane na hydrogen
inayozalishwa na ushuzi inaweza sababisha moto.

8.Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote
Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na
matatizo yetu ya "Global Warming".Mchwa huongoza kwa
kujamba kwa wanyama,na hiyo huzalisha gesi ya
methane.

9.Ukiubana Ushuzi,Utakutoka Usingizini
Hata ujitahidi kuubana vipi,ushuzi utatoka mara
utapokua umepumzika,hasa ukiwa umelala.

10. Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika
Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya
mtu kufariki dunia,hii huambatana na milio ya
kujamba.Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa.

UKIPATA NAFASI JAMBA MWANANG

Mimi nawashangaa,wanaosa ooh vyakula . inajulikana wazi bongo maharage,ugali,wali Ndio vya kula vyetu. Eti usile vyakula vyenye gas!!!!ale nini sasa???pizza???wakati hana uwezo wa pizza,baga??? Acheni kuact.
Ukipata nafasi tifua tu litajisafisha lenyewe hewani juu kwa juu.

Sipendagi ujinga.
 
Mkuu wewe ni bidhaa adimu sana, nenda pale kinyerezi utusaidie hiyo Gesi yako.
 
naishi nae hana shida hata yeye ana tatizo .shida ni kwa kachanga ketu


Possible wote wawili mna tatizo la Lactose Intolarance ambalo husababishwa na tumbo kutoweza kumeng'enya Lactose (aina ya sukari asilia inayopatikana katika maziwa na mazao yatokanayo na maziwa) ipasavyo. Lactose inapopita kwenye utumbo mkubwa bila kumeng'enywa ipasavyo inasababisha dalili sumbufu kama vile tumbo kujaa gesi,maumivu ya tumbo na tumbo kuunguruma pamoja kujamba mara kwa mara.
Kama mna utaratibu wa kunywa maziwa au mazao yoyote yanayotokana na maziwa jaribu kuepuka.

Kumbuka hii sio mzio/allergy bali ni maumbile ya baadhi ya watu.
 
Jaribu na hii, utani pm ikikusaidia, nunua chupa ndogo ya apple cinder vinegar inauzwa 4500 , chukua glas kubwa ya maji ya uvuguvugu changanyia vizibo viwili vya apple cider kunywa kabla hujalala yaani ukisha kula ucku ukitaka lala kunywa, ukiamka pia Fanya hivyohivyo. Ukimaliza ciku mbili unafanya hivyo yatatu likajiludia muone doctor
 
Acha kula mayai ,viazi,na mahindi mchemsho,karanga mbichi na maziwa kwa wakati mmoja
 
Nitatafuta [HASHTAG]#KIKOPO[/HASHTAG] ukijamba utegeshe then uniletee NINUSE
 
Kama hauna amoeba basi utakuwa na taifodi kapime maake umesema si kawaida kapime
Mimi nimepima nina taifod,minyoo na amoeba ajabu nikitumia dawa siku inayofuatia ushuzi unaotoka inabidi niachiwe chumba kwa nusu saa maana ni sheeeda!!!!!
 
mtoto anateseka sana na sauti za kujamba.kitunguu swaumu nimejaribu ndo naharibu nakijamba kizimakizima harufu ya kitunguu swaumu mbaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kizimakizima
 
bahati nzuri tunajamba mida ya kuamka labda wkend ndo tunateseka maana mabomu yakianza hakulaliki tena mtoto anashtuka anaanza kulia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.

Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.

Naombeni ushauri..
Napenda mademu mnaojamba jamba

Mnanipa mzuka sana wa kuwa fi.ra
 
Back
Top Bottom