Ninajihisi aibu sana kwa kumtaka kimapenzi huyu binti wa mama akaamua kunikataa na matusi juu

Ninajihisi aibu sana kwa kumtaka kimapenzi huyu binti wa mama akaamua kunikataa na matusi juu

Hapana mkuu, kuhusu namna gani naweza kuondokana na aibu hii, yaani kwanza najiona mnyonge kwa kuonesha udhaifu wangu mbele ya hicho kibinti

Achana nacho,kula buyu kali sana yaani no salamu no nini..ikibidi leta mademu wengine hapo home ukitie wivu tu huwa havinaga akili utakuta kinajileta chenyewe
 
Back
Top Bottom