Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 13, 2022 #41 Mambo yake muachie mwenyewe...
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Nov 13, 2022 #42 Tukikutia moyo utakuwa na mioyo mingapi?
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Nov 14, 2022 #43 Melki the Storyteller said: Hapana mkuu, kuhusu namna gani naweza kuondokana na aibu hii, yaani kwanza najiona mnyonge kwa kuonesha udhaifu wangu mbele ya hicho kibinti Click to expand... Achana nacho,kula buyu kali sana yaani no salamu no nini..ikibidi leta mademu wengine hapo home ukitie wivu tu huwa havinaga akili utakuta kinajileta chenyewe
Melki the Storyteller said: Hapana mkuu, kuhusu namna gani naweza kuondokana na aibu hii, yaani kwanza najiona mnyonge kwa kuonesha udhaifu wangu mbele ya hicho kibinti Click to expand... Achana nacho,kula buyu kali sana yaani no salamu no nini..ikibidi leta mademu wengine hapo home ukitie wivu tu huwa havinaga akili utakuta kinajileta chenyewe
The_antidot Member Joined Jun 26, 2024 Posts 22 Reaction score 56 Jul 2, 2024 #44 nyege msukusuku zimekuponza comred!
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,102 Reaction score 4,028 Jul 2, 2024 #45 Mzembe sana wewe unaleta tamthilia tupu Kwa wanaume aisee pumbuzo aiseee