Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Nikweli asee inategemea na uwezo wa mtu mana unaweza kununua kiwanja cha m5 mtu mwingine akakushangaa kwanini umenunua kiwanja gharama hivyo wakati kuna vya laki3. ndio hivyo hivyo inakua ata kwenye mavazi au magari kila mtu ananyoosha pale mkono wake unafikaUkiona mtu kanunua kiwanja milion 100
Tambua anamiliki zaidi ya hiyo hela
Sidhani kama mtu anae miliki million 100 tena anunue kiwanja kwa bei hiyo