Nikweli asee inategemea na uwezo wa mtu mana unaweza kununua kiwanja cha m5 mtu mwingine akakushangaa kwanini umenunua kiwanja gharama hivyo wakati kuna vya laki3. ndio hivyo hivyo inakua ata kwenye mavazi au magari kila mtu ananyoosha pale mkono wake unafikaUkiona mtu kanunua kiwanja milion 100
Tambua anamiliki zaidi ya hiyo hela
Sidhani kama mtu anae miliki million 100 tena anunue kiwanja kwa bei hiyo
Hata mimi nikiwa na 500ml naweza kufikiria kununua kiwanja/eneo la 50-100ml. Kuna vigezo vingi kwa nini mtu anunue kiwanja cha 100ml.
Juzi nilipita Upanga na wife nikamuuliza, vipi tukipata boom si tuhamie huku tuachane na huko shamba!! Nilichojibiwa sasa....!
Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
Mkuu pia huwa najiuliza mara ninapokuta mtu ameweka jengo lenye thamani ya zaidi ya ml 200 kwenye eneo ambalo halijapimwa, mabondeni, uswahilini nk. Mkuu maisha ni mafupi sana, kula maisha siyo kunywa bia pekee au kusafiri nchi tofauti tu, ni lazima pia uangalie unaishi wapi. Kama maisha yamebana utaenda nayo kadri yalivyo, vinginevyo kama Mungu amekujaalia ukwasi ni vema utumie kwa furahaNi kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.