Ninakabiliwa na changamoto nyingi sana, sijui nifanye nini ili kuboresha hali yangu

Kama mwanamke ndiye kikwazo tafuta upenyo utengane naye.

Tafuta namna ujinasue. Wewe ni mwanaume huwezi kukosa mbinu.

Huyo dada siyo mama yako kwamba huwezi kupata mwingine.

Panga na uchague jema kwako.

Hakuna namna ni lazima u-solve hilo tatizo bila kuleta madhara.

Stay humble. Maisha safari ndefu!

Pole sana!
 
Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani
Pole sana.man!!
Naelewa sana unachopitia sana mkuu!!

Sasa BASI USIJIUE MKUU FANYA HIVI:-

Chukua karatasi nyeupe Ile ya kufanyia mtihana ya A4!

Chukua kalamu yako ,Kaa peke yako kabisa sirini !!

"Andika Barua Kwa Mungu!!!?yaani ,kama barua ya kiofisi kabisaaa!

Kichwa Cha habari

Yah;Matatizo niayopitia Mimi mja wako!!

Andika kuanzia no.1. Hadi mwisho

Halafu mwambie "naomba unisaidie kuhusu haha niliyaandika!!

Subiri usiku kama was saa sita Toka nje ya nyumba na panga au jembe chimba chini kama futi moja,ilaze Ile karatasi ndani ya shimo ikitazama juu mbinguni!!

Chukua kikombe Cha chumvi kilichojaa imwagie karatasi ikiwa shimoni huku ukisema Mungu akusaidie kutatua matatizo haha ninayoyazika hapa chini!!

Fukia vizuri ,!muombe mungu. Hapo halafu mwagia maji Buu ya shimo ili kusijulikane kama Kuna chochote!!

Nenda kalale kwa amani!then utahisi ahueni na maisha yako yatabadilika!
 
Zingatia neno mpango

Umeajiriwa Ila unaishi paycheck to paycheck na madeni juu , hapa tatizo ni mipango (plan)

Umeoa - Ila mke wako Unahisi anakudharau hapa tatizo ni mpango.

Ushauri

Unaweza kuwa MTU wa Field Ila usiwe best planner so tatufa MTU mzuri awe anakusaidia hilo eneo .

Zingatia

Pray
Mental health
Physical health
 
Mtu kama wewe unatakiwa upewe tour ya wodi ya wagonjwa wa kansa, na ujapowahoji wangali na matumaini...

Naamini akili yako itapata akili na kutambua sababu ya kuishi...

Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani
 
Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani

Tumepita hapo na sasa ni wazima, matatizo na stress Anazoleta mke huwa ni ngumu always, Mpuuze, jipende and fight!
 
Mtu kama wewe unatakiwa upewe tour ya wodi ya wagonjwa wa kansa, na ujapowahoji wangali na matumaini...

Naamini akili yako itapata akili na kutambua sababu ya kuishi...
Ni kweli mkuu. Hata kama sio kwenda wodi ya kansa awe na ratiba ya kwenda kusalimia wagonjwa hospitalini. Kiakili na kiroho atapata tiba
 
Anza kusoma vitabu vinavyohusu maisha mke achana nae usimfikilie sana delete kichwani abaki machoni itakusaidia
 
Hata Uwe na mbio vip huwez zikimbia shida.

Mkuu Jipatie Muda wa chumba cha siri Na Muumba wako
 
Mistake ambayo wanaume ufanya ni kumweka mwanamke wazi kila kitu !

Kama maisha ni magumu mpe proposal tamu za kuwa kuna jambo unasubiria kwa miaka Kama miwili Huku ukichora chora madraft yako! Wao uwa wanataka kusikia mambo mazuri masikio mwao tu ! Ukimwambia Mara nataftwa na polis au nimefukuzwa kazi au maisha magumu Onhoo haha

Usioneshe uzembe wako kwa mwanamke hata siku moja

Narudia mwanamke asikusome kabisa !
 
Pambana mkuu mpaka kieleweke hamna kukata tamaa
 
Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani
Pole sana nachelea kuuliza kwamba kwenye familia uliyotoka ina wasomi wa level yako kwa kiasi gani ila ni seme tu kwamba haya mambo huwa ni maagano wakati mwingine.

Mimi sijali kama huwa unaamini mambo ya rohoni au hauamini ila nakusihi sana stick kwenye imani yako na ujiconnect na wale malaika waliobeba hatima yako.

Umesema ulikua vizuri kwenye biashara then ukapata hasara, natamani kujua maisha yako kabla ya kuoa yalikua vipi hasa kwenye upande huo wa uchumi, sisemi kuwa napata mashaka na mkeo kwamba pengine frequency zenu haziendani ila dunia iko na mengi ya kushangaza ambayo kwa jicho la kibinadamu ni ngumu kuyaona.

Kingine kufeli kwenye biashara ni kawaida sana kwa watanzania wengi coz huwa tunaingia kwenye hizi biashara bila kuwa na taarifa kamili, ni mara chache sana unamskia mtanzania akisema ako na mentor ambae amefanikiwa kwenye kitu ambacho yeye anakifanya ili aweze kumpa njia na moral ya kupush zaidi... wengi hatupendi kutoa pesa ili tupate pesa.

Umeajiriwa so unapokea mshahara na hapo hapo mkeo hakuelewi kwahiyo ni either mshahara haukidhi mahitaji au standard za maisha ambazo mliishi hapo awali zilikua za juu sana kuliko za sasa kwahiyo bado yuko na ile saikolojia ya maisha ya nyuma.

Kama ndivyo basi haukumchunguza vizuri huyo mwanamke kabla hujamuoa coz inaonekana aliolewa na wewe kisa pesa na kama sio basi jitahidi usiwe sana muwazi kwake kwa maana wanawake wanapenda kuwa na watu ambao wanajifeel safe wakiwa nao.

Namaanisha usipende sana kulalamika lalamika ugumu wa maisha kila ukiwa nae na pia usioneshe hali ya kukata tamaa hadi akuone huwezi tena coz hapo atajifeel hayuko safe na ataanza kujiongeza.

SALI SANA BRO, ACHANA NA NYUZI ZA WALE WANAOKUAMBIA MUNGU HAYUKO, MUNGU YUPO NA WEWE UWEPO WAKO HAPA DUNIANI SIO KULA KUNYWA NA KUFA ILA IKO HATIMA AMBAYO WAPASWA KUITIMIZA KWAHIYO INAWEZEKANA KOTE AMBAKO UNAPITA UNAPATA UGUMU COZ SIO SEHEMU SAHIHI KULINGANA NA HATIMA YAKO, OMBA MUNGU AKUONESHE HATIMA YAKO EITHER DIRECT AU AKUKUTANISHE NA WATU WA HATIMA YAKO ILI WAWEZE KUKUTOA HAPO ULIPO NA KUKUPELEKA KATIKA VIWANGO VINGINE.

LASTLY: Ugumu wa maisha kwa kila mtu ambae anatafuta pesa kihalali lazima akutane nao kwa namna fulani ila cha muhimu hakikisha wewe na mkeo mnaungana ili huo mshahara unaoupata msave kwaajiri ya kunyanyua uchumi wenu upya, wanawake wanakuaga na macho sana ya kibiashara hasa hizi business za kuanza mdogo mdogo ambazo sisi kwa sehemu kubwa huwa hatuziwazi mara nyingi.

Wewe ndio mbeba maono ya familia ila unae msaidizi ambae anapaswa kukushauri pale unapokwama.
 
Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani
Maamuzi gani magumu unataka kuchukua ?
 
Mistake ambayo wanaume ufanya ni kumweka mwanamke wazi kila kitu !

Kama maisha ni magumu mpe proposal tamu za kuwa kuna jambo unasubiria kwa miaka Kama miwili Huku ukichora chora madraft yako! Wao uwa wanataka kusikia mambo mazuri masikio mwao tu ! Ukimwambia Mara nataftwa na polis au nimefukuzwa kazi au maisha magumu Onhoo haha

Usioneshe uzembe wako kwa mwanamke hata siku moja

Narudia mwanamke asikusome kabisa !
Ukijitiisha tiisha huruma na kujifanya kila jambo unamshirikisha mkeo lazima akudharau sana na atajifeel hayuko safe so automatically atajiongeza.
 
Nimekutafuta sana kwenye maisha,pamoja na kusoma sana na kuwa na akili nyingi naishi maisha magumu mno Tena ya kudharaulika.nina familia na watoto but nikama wife ananidharau baada ya kujipatia.nina hisi muda wowote anaweza kubipiga tukio kwa maana kauli zake siziekewi elewi.nahisi ya kuwa nilishapoteza dira siku nyingi.kimsingi nimepata hasara kwenye mambo mengi ambayo nimejaribu kuwekeza,nimeajiriwa but nahisi hakuna chochote naweza kufanya plus madeni niliyo nayo .siwezi kufanya jambo lolote la kumuumiza mtu mwingine.huwa nalaumiwa sana kwa vitu ambavyo sijafanya au siku husika nalo ,kimsingi ninachangamoto nyingi mno,sijui nifanyeje jamani
Umedai umesoma sana na una akili nyingi ila mwandiko wako unapingana nawe. Unaandika kama umeishia kidato cha pili kwa kufeli NECTA.

Okay, kama kila kitu kigumu badili mazingira anza upya jichanganye hasa na watu wanaopambana waliofanikiwa. Achana na hiyo unayoita elimu na akili nyingi, tafuta watu sahihi waliofanikiwa haijalishi wana elimu na akili sana au walikimbia umande na "hawana akili".
 
Back
Top Bottom