Ninakorodani moja

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa?
Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu
 
Tatizo ni korodani moja au ni mtambo kama unafanya kazi? Pia je mpaka leo umeshaona hata mbegu zako? Kama umeziona kazijaribie kwenye shamba zuri lenye mbolea safi na rutuba. Matokeo ni miezi tisa. Kumbuka mbegu inayoleta mtoto ni moja si mia. Namjua mtu mwenye korodani moja lakini watoto wake ni healthy saana mpaka hata wajukuu zake wanafanana na yeye.
Pia, elewa wapo wenye 2 lakini hawana hata mche mmoja duniani
 
ha ha h a a a a!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa?
Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu

inawezekana,golikipa wa ivory coast tizie,aliyeidakia kombe la dunia 2006,nae alikuwa na moja.cha msingi itunze hiyo uliyonayo
 
Kuzaa huwezi ila kuzalisha unaweza

ndugu yangu pumbu moja si hoja, hoja ni je mzigo una kwenda hewani, je pumbu lako moja lina toa mbegu zilizo na afya njema kuweza kurutubisha yai la mwanamke? Kama majibu yake ni ndiyo basi una uwezo wa kumtia mimba mwananke. Mimi mwenyewe ni na kengele moja na nimejaaliwa watoto watatu!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa?
Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu

tafuta binti ufanye majaribio.! Hata kama unazo zote unaweza usizae.
 
Wataalam kujenimtujuze mie ninamtoto wa shemeji yangu anayo moja.cc dr mo,mzizimkavu na wengineo.
 
tafuta binti ufanye majaribio.! Hata kama unazo zote unaweza usizae.

Hivi inakuwaje mtu mzima unakuwa na mawazo kama haya..?
Yaani unasema akafanyie majaribio kwa binti wa watu..? Huyo binti wa kufanyiwa majaribio ni wa nani?
Na huyo mtoto atakayezaliwa utamlea wewe..? Na maisha ya huyo binti..?
Fikiri kwa kina mkuu kama mtu wa karne hii..
Kwanini usimwambie aende kwa wataalamu wampime?
Yaani akafanyie majaribio kwa binti wa watu kwa kumzalisha..? Huoni tatizo la watoto wa mitaani lilivyo kubwa..?
Huyo mtoto atakayezaliwa anahitaji matunzo na malezi ya baba na mama.
Ama wakishafanya majaribio ulimaanisha wakatoe hiyo mimba..?
So sad, kama huna dini hata kufikiri kwa logic tu umeshindwa mkuu?
POOR YOU..!!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa?
Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu

Linakunyima Raha Kwa Kuwa Una Nyanya Moja Tu AU Linakunyima Raha Labda Huwezi KUTUA Mzigo IPASAVYO Uwapo ktk Mechi Yetu Ya Simba Na Yanga a.k.a Kitandani? Nijuavyo Mtu Akiwa Na Upungufu Wa Kitu Fulani Ndiyo Huwa Anakuwa Very Effective ktk Utekelezaji Wa Jambo Kwakuwa ILE Hali Inamfanya Aongeze Bidii Na Juhudi Kubwa. Kwa Mfano Tu Hebu Angalia Timu Ya Mpira Ikiwa Na Wachezaji Pungufu Inavyocheza......Ni Full Jihad Na Kukomaa...........!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahah!!! You made my day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…