Ninakorodani moja

Ninakorodani moja

Wala ickupe tabu mkuu .wewe nenda kapime mbegu zako .pia wapo watu wengi tu wenye ilo tatizo na wana watoto na wameowa .hiyo uckupe taabu kabisa.
 
Hofu yako ndio umasikini wako!
Kuna Jamaa kitaa anayomoja tu kama wewe na sasa anawatoto watatu afu wawili wamefanana nae kinyama!
 
Back
Top Bottom