Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Jul 6, 2014 #21 Evelyn Salt said: Kumbe nawe una kipisi duh afu nimekumiss we mzee Click to expand... Nakumiss sana sauti yako ile ujue, wacha nikutafute soon.
Evelyn Salt said: Kumbe nawe una kipisi duh afu nimekumiss we mzee Click to expand... Nakumiss sana sauti yako ile ujue, wacha nikutafute soon.
joss1973 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 405 Reaction score 102 Jul 6, 2014 #22 Wala ickupe tabu mkuu .wewe nenda kapime mbegu zako .pia wapo watu wengi tu wenye ilo tatizo na wana watoto na wameowa .hiyo uckupe taabu kabisa.
Wala ickupe tabu mkuu .wewe nenda kapime mbegu zako .pia wapo watu wengi tu wenye ilo tatizo na wana watoto na wameowa .hiyo uckupe taabu kabisa.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jul 7, 2014 #23 moja tu, inatosha hiyo!
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,346 Jul 7, 2014 #24 Hofu yako ndio umasikini wako! Kuna Jamaa kitaa anayomoja tu kama wewe na sasa anawatoto watatu afu wawili wamefanana nae kinyama!
Hofu yako ndio umasikini wako! Kuna Jamaa kitaa anayomoja tu kama wewe na sasa anawatoto watatu afu wawili wamefanana nae kinyama!