Mzee huyo utamchanganya..huyo biashara yake ni ya mitaj midogo ndugu yanguKingine nnachokiona,
Mfanyakazi wako anafaidika San na ofisi yako.
Kumlipa 100,000 afu ukamuongezea posho ya siku, hapo bado hajajiongeza za kwake Apo ofsini.
Binafsi,
Huo mshahara ningetakiwa kulipa kwa biashara yenye mtaji usiopungua million 50, na yenye mzunguko usiopungua mauzo ya millioni 1 kwa siku.
Pia biashara inatakiwa kua na uhakika wa kuingiza faida isiyopungua Laki 1 kwa sikU nzima baada ya Kutoa matumizi Yote ya ofisi kutwa nzima.
Kabisa,Kama unapata 80,000 kwa mwezi faida, niamini mimi huyo mfanyakaz wako anakuibia faida sio chini ya 100,000
Experience ya hio biashara ya stationary wengi wanao faidika nayo, ni wale waliojiajiri na kushinda nayo asubuh hadi jioni. Pia ni wale wanaoweka wake zao.
Inshort kwa miaka hio 3 huyo dada ndio unae mtajirisha, biashara ingekua mbaya angekukimbia. Stationary ni kama duka tu la rejareja anekuuzia ndio anajua namna ya kukupiga pesa.
Boss tunatofautiana mitaji nadhani, 🙂 🙂Tatizo Lako Pesa nyingi inatoka nje.
Binafsi huwa natumia principle Hii,[emoji116]
1.Mshahara wa mfanyakazi/wafanyakaz kwa mwezi,
haitakiwi kuzidi 10% ya mauzo yangu kwa sikU.
Mkuu biashara zina siri, hata siku moja usione mtu anafanya kitu fulani anapata na wewe eti ukafanye kile kile basi utafanikiwa. Ushauri wangu,Hbarini wafanyabiashara.
Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge.
Nikaona nifungue steshonari nimweke dada wa kazi awe ananisaidia, sikutaka kukopa hivyo nikafikiria nifungue biashara ambayo mshara wangu unaweza kuwa mtaji, Basi nikakusanya mshahara, viposho na balance ya benki nikafanikiwa kununua photocopy machine, printe ya rangi, lamination, computer, madaftari, peni,n.k niligharamika milioni 3 na kitu hivi
chumba nlipata cha laki, binti nikawa nampa laki mshahara na alowance ya elf 3 kila siku kwajili ya usafiri, msosi, choo, maji, n.k,
kusema kweli naona biashara hainilipi, kwa mwezi nikitoa kila gharama nabaki na elf 80 au laki...Yani kwa jinsi nilivyogharamia vifaa nimetumia kama milioni 3 na nusu hivi, huwa inaniuma
sasa sijui nijiongeze vp wadau
Hapana mkuu,Mzee hii model yako si mchezo...biashara zako lazima ni za mitaj mikubwa sana....mauzo milion kwa siku si mchezo
Nimeipenda hyo model yako..ngoja niifanyie kaz mahala fulan.Hapana mkuu,
Ndo maana nikatoa kwa mfumo wa asilimia, ili ujikadirie mwenyewe.
Kwa mtaji wa million 3,
Mtoa mada hakupaswa kuweka mfanayakazi wa kumlipa mshahara huo anaomlipa.
Angemuweka either mkewe au ndugu wanaeaminiana, au angekomaa mwenyewe.
Biashara yoyote changa na inayoanza na mtaji mdog, hua Sio vizuri Sana kuanzia Kwenye mikono ya watu Baki.
Mtoa mada alitakiwa akomae mwenyewe kwanza mpaka mtaji ukue ndo aweke mfanyakazi.
Kwa kinachoendelea,
Kamwe hawezi kupata faida, vinginevyo apambane aongeze bidhaa, mtaji na huduma ili apate mauzo kuanzia 1million kwa sikU.
Am speaking from experience,
Hiki kinachomkuta mtoa mada, kinanikumbusha kisa Cha rafki angu mmoja alifungua duka la dawa kwa mtaji wa million 5 kwa sababu inafaida kubwa na mzunguko anaona upo.
akamwajiri nesi na kumlipa laki@mwezi na posho ya 5,000 kila sikU.
Nilimuelekeza, akakaza Shingo.
Baada ya miaka 2 biashara ilishindwa kujiendesha na ikafa.
Nowdays,
Kafuata principle yangu, na Anabiashara ingine 3 na maisha yanaendelea vizur sana.
Kwa mauzo ya elfu 15,Boss tunatofautiana mitaji nadhani, 🙂 🙂
Wewe ni mhindi? Mbona mnyonyaji hiviKingine nnachokiona,
Mfanyakazi wako anafaidika San na ofisi yako.
Kumlipa 100,000 afu ukamuongezea posho ya siku, hapo bado hajajiongeza za kwake Apo ofsini.
Binafsi,
Huo mshahara ningetakiwa kulipa kwa biashara yenye mtaji usiopungua million 50, na yenye mzunguko usiopungua mauzo ya millioni 1 kwa siku.
Pia biashara inatakiwa kua na uhakika wa kuingiza faida isiyopungua Laki 1 kwa sikU nzima baada ya Kutoa matumizi Yote ya ofisi kutwa nzima.
Nakufatilia mkuu..madin hayoKwa mauzo ya elfu 15,
Hupaswi kuweka mfanyakazi, hapo Unapaswa kukomaa mwenyewe.
Na principle yangu always,
ILI BIASHARA ISIFE,
Sitakiwi kutumia zaidi ya 10% ya mauzo yangu yote kwa sikU.
Mf: nimeuza elfu 15,000, nalazimika kutumia Sio zaidi ya 1,500 kwa sikU.
Na
ILI BIASHARA IKUE HARAKA SANA,
Sitakiwi kutumia zaidi ya 10% ya faida yote niliyoingiza kwa siku.
Mf: nmeingiza faida ya 15,000 baada ya matumizi Yote ya sikU, sipaswi kutumia Zaid ya 1,500 kwa sikU.
Mil.3 kama bado unaitaka nikupe uniachie kama ilivyo halafu tutafutane ndani ya mwaka 1Dah mkuu, ukilinganisha pesa nliyoweka na ninayoipata ni asilimia ndogo, yote kwa yote naombeni mbinu za kitaalam kuikuza, kuna kipindi mtu alikuja na ofa ya milioni 3 ila nilimtolea mbali apo kwa sasa naanza kutamani nngeikubali ile ofa
wewe ni mpare au maana hata watani zako nao bahili ila hawajafika hukuKwa mauzo ya elfu 15,
Hupaswi kuweka mfanyakazi, hapo Unapaswa kukomaa mwenyewe.
Na principle yangu always,
ILI BIASHARA ISIFE,
Sitakiwi kutumia zaidi ya 10% ya mauzo yangu yote kwa sikU.
Mf: nimeuza elfu 15,000, nalazimika kutumia Sio zaidi ya 1,500 kwa sikU.
Na
ILI BIASHARA IKUE HARAKA SANA,
Sitakiwi kutumia zaidi ya 10% ya faida yote niliyoingiza kwa siku.
Mf: nmeingiza faida ya 15,000 baada ya matumizi Yote ya sikU, sipaswi kutumia Zaid ya 1,500 kwa sikU.
Nakukubal sanaa mkuu.Mil.3 kama bado unaitaka nikupe uniachie kama ilivyo halafu tutafutane ndani ya mwaka 1
utaona wapi ulikua unakosea,usiitamani ile mil.3 kama bado una nia umedhamiria Njoo PM
bado nakwambia usikate tamaa hiyo biashara iko vizuri mkuu bila kujali umewekeza kiasi gani
hata kama uliwekeza 10m na unapata faida hiyo 80k bado nasema hiyo biashara si yakuiacha asee
Narudia : kama kweli bado ile nia yako ya kuiachia hiyo biashara unayo,karbu pm tuyajenge.
Mfanyakazi wa sheli mwenye mauzo ya million 6 kwa sikU (double ya mtaji wako),Boss tunatofautiana mitaji nadhani, 🙂 🙂
Ni kwel mkuu...madin matupu..aisee kipind naanza anza vijana wa kaz waliniumiza sana..nilikua na huruma sana..ila badae nikaja gundua ni washe.nzi kulikoo..yaan mim nilivyokua nawa treat kama ndugu kumbe wa.senge walikua wananilia timing tuu...aisee sasa hiv nmekua katil had najiogopa..yaan mim ku fire [emoji91] mtu in a second sion shida kabisa...tena aka.nye mav.i mbele hukoMfanyakazi wa sheli,
Analipwa elfu 80 kwa mwezi, na posho ya elfu 5 kwa siku
Wewe mwenye mtaji wa million 3,
Unajitutumua unamlipa mshahara wa 100,000.
Mkuu nikwambie TU ukweli,
Ukishaingia Kwenye ujasiliamali lazima ujue kua bahili na usiwe na roho ya huruma kijinga jinga.
Unapaswa kulipa kutokana na unachoingiza, na Sio kuangalia sura Wala Roho mtakatifu.
Kwenye biashara hizi za kibepari,
Ukijifanya msamalia mwema, Unapotea Kwenye GAME faster.
Kaulizie mishahara anayolipa MO-Dewji kwenye biashara zake, afu utanipa majibu.
MO analipa watu mamilioni ya hela na wengine analipa hadi 30,000Mfanyakazi wa sheli,
Analipwa elfu 80 kwa mwezi, na posho ya elfu 5 kwa siku
Wewe mwenye mtaji wa million 3,
Unajitutumua unamlipa mshahara wa 100,000.
Mkuu nikwambie TU ukweli,
Ukishaingia Kwenye ujasiliamali lazima ujue kua bahili na usiwe na roho ya huruma kijinga jinga.
Unapaswa kulipa kutokana na unachoingiza, na Sio kuangalia sura Wala Roho mtakatifu.
Kwenye biashara hizi za kibepari,
Ukijifanya msamalia mwema, Unapotea Kwenye GAME faster.
Kaulizie mishahara anayolipa MO-Dewji kwenye biashara zake, afu utanipa majibu.
Hapo kwenye connection na kuwa na affiliates.Mkuu biashara zina siri, hata siku moja usione mtu anafanya kitu fulani anapata na wewe eti ukafanye kile kile basi utafanikiwa. Ushauri wangu,
Poach mtu, kama Kuna stationary inauza karibu ama eneo linalofanana na lako Tafuta mhusika ama mfanyakazi wa mhusika akupe A to Z, unaweza kuta Stationary ina ma vitu kibao printer, photocopy etc ila watu wa hapo wanauza zaidi Kitu chengine ambacho kwako Huna.
Pia Tafuta connection kwenye mashule, taasisi ikiwezekana pia toa ganji, Bila connection na watu wa kati biashara ngumu. Bora upate kidogo ilà uwe na mzunguko.
Mwisho kuwa mbunifu, ila usispend sana kwenye ubunifu, buni kwenye circle yako hio hio, kama una printer na computer usiishie tu kwenye photocopy na print, Angalia kama Kuna demand ya vitu kama vitambulisho, business card, kutengeneza vipeperushi na kuviprint, camera ya passport size etc.
Mzee hii model yako si mchezo...biashara zako lazima ni za mitaj mikubwa sana....mauzo milion kwa siku si mchezo